Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Mji leo shwariiii hamna kelele.Kocha Zahera alipatwa na kiwewe akasahau kuongea kiswahili ikabidi aongee kifaransa.
Alidai timu zinahongwa sasa sijui Yanga alihongwa shilingi ngapi?
Nataraji TFF itamwita athibitishe madai yake.
 
Mtani pole. Naona simu ilikata chaji..Kimoko.
 
Jamaa aliyebeti mke.Imebidi alie tu.Jamani muhurumieni. Kichapo achapwe na mke mmchukulie?
Fanya huruma Justin Kessy.Sidhani atarudia ujinga huo tena.
 
Back
Top Bottom