Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Mijamaa inabebwa kinoma dakika 5 zimeongenzwa refa kafika mpaka 97 hadi kocha wa kagera alianza kulalamika
 
Hivi yule kocha kumbe ni wakagera!!! Mimi nilijua zuhura maana kwa kulalamika yule ni hatari
 
Simba timu ya ovyo tu...timu nyingine zingekua zinakataa rushwa kama kagera basi simba angekua na point 35 tu

Uko sahihi kabisa...marefa wengi wanaibeba Simba kutokana na rushwa...Ndiyo maana hakuna refa (kama sijakosea) kutoka Tanzania ambaye ameteuliwa kuchezesha huko kwenye michuano ya AFCON kule Misri...Wewe fikiria yule kibendera wa mechi ya Yanga na Mtibwa pale Morogoro alivyolikataa 'bao' 'halali' la Yanga kwa kisingizio eti ni offside...hovyo kabisa......
 
Kulia n kulia tu mkuu,haijalishi imekukutia wap tatzo iwe kwenye bajaji au fonekisi.
Hapana mkuu msiba wa tajiri tunasema marehemu ametutoka au ametangulia ila msiba wa maskini tunasema kaaga dunia au kadanja

Kuna utofauti mkubwa sana hapo
 
Uko sahihi kabisa...marefa wengi wanaibeba Simba kutokana na rushwa...Ndiyo maana hakuna refa (kama sijakosea) kutoka Tanzania ambaye ameteuliwa kuchezesha huko kwenye michuano ya AFCON kule Misri...Wewe fikiria yule kibendera wa mechi ya Yanga na Mtibwa pale Morogoro alivyolikataa 'bao' 'halali' la Yanga kwa kisingizio eti ni offside...hovyo kabisa......
Hujakosea mkuu relax kabisa"Hakuna refa hata moja mkuu aliechaguliwa na CAF" from home Tz for Afcon.
 
Mtani utateseka sana leo. [emoji3][emoji3]
Msiba wa tajiri huambatana na vicheko vya furaha, ila kwenye msiba wa maskini ukicheka tu watasema wewe ndiye uliyemuua marehemu
 
Back
Top Bottom