Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

66' Simba SC wakimiliki mpira hasa kipindi hiki, huku wakijaribu kupenya kufikia lango la Yanga
 
68' anatoa Sarpong na anaingia Yacouba
 
66' Simba SC wakimiliki mpira hasa kipindi hiki, huku wakijaribu kupenya kufikia lango la Yanga
Yeah, simba wanashambulia kama nyuki, ila Yanga wako vizuri kuzuia
 
Namna gani Simba wanashindwa kuandika bao..Ilikuwa nafasi bomba kabisa
 
Onyango na wasiwasi na umri... hana speed kbsaaa
 
Yanga kazeenii... Mmerudi nyuma mtaikost team..
 
80' Simba wanawashambulia Yanga SC kama nyuki..woote wako nyuma wakimuacha Yacouba pekeee
 
Waweke mpira kati haraka wawapige la pili. Hakuna muda wa kushangilia
 
Wanashambuliwaaaaaaaaa Yanga..Wamepaki basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…