Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Moderator toa hapa hii kitu, hili ni jukwaa la siasa, sio la sports.
 
Mapato yatakusanywa na point 3 kama kawaida.
 
Nilikuwa naangalia game na shabiki mmoja wa simba geto mpaka sasa kalala usingizi sina hakika endapo atakula leo huyu jamaaa
 
Poleni Wana Simba, Poleni Uongozi wa Klabu,Pole Manara huo ndiyo mpira dakika 90. Sasa tuwasubiri watani wa jadi. Usajii mlifanya wa nguvu lakini mpira ndo ulivyo.
Asante mkuu ndio mpira
 
Hahahaaa. Unadhani na mie nilikusahau eeee.

Nimekufanyia kusudi ila ujumbe huo muufanyie kazi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa Bahati mbaya mie zamani nilikuwa mwenzako ila sasa nashabikia African sports
 
Mpira wa kibongo ni ovyo sana timu inayotangulia kupata goli mara nyingi ndio hushinda hasa hizi timu ndogo na ladha ya mpira hua inaharibika maana hapo sio mpira tena ni kupoteza muda zitimie dakika tisini.
 
Simba kafungwa[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…