Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Baada ya jana rangi ya jezi (nyeupe + nyekundu) kuiponza Coastal Union mbele ya mabingwa wa kuhistoria wa ligi kuu Tanzania Bara klabu ya Yanga Afrika kwa kufungwa moja bila leo ndugu zao klabu ya soka ya Simba imefungwa goli moja kwa bila katika uwanja wa CCM kirumba huko jiji la mawe mengi Mwanza baada ya kungukiwa na Mbao mbichi.

Mpaka mwisho wa mchezo Mbao FC 1-0 Simba SC View attachment 872514
Moderator toa hapa hii kitu, hili ni jukwaa la siasa, sio la sports.
 
SIMBA NGUVU MOJA... Ligi bado mbichi sana, kupoteza ni sehemu ya mchezo.. Tujipange kwa game ijayo.
Hongera MBAO kwa kuwin point zote 3.. Tunatambua ubora wenu mkiwa Kirumba Mwanza.
SIMBA tunacheza popote sio wale wanaokusanya mapato ya nyumbani ili walipe madeni+mishahara.
#SIMBASC
Mapato yatakusanywa na point 3 kama kawaida.
 
Nilikuwa naangalia game na shabiki mmoja wa simba geto mpaka sasa kalala usingizi sina hakika endapo atakula leo huyu jamaaa
 
Mpira wa kibongo ni ovyo sana timu inayotangulia kupata goli mara nyingi ndio hushinda hasa hizi timu ndogo na ladha ya mpira hua inaharibika maana hapo sio mpira tena ni kupoteza muda zitimie dakika tisini.
 
Simba kafungwa[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom