Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Lazima waende FIFA. Haiwezekani watumie 1.3 billion wafungwe na timu iliyotumia chini ya130M. Hii dharau kubwa.
Yaani mnaongea kama hamna meno kinywani. Mbona Man City ametoka sare 1-1 na Wolves EPL? Unajua thamani ya Man City na hiyo timu ambayo imepanda daraja tena baada ya kushuka?

Man City 1-2 Lyon Uefa... Ndo tatizo la kujua mpira kwenye magazetini na Insta..pole sana mkuu.
 
Nimependa ID ya aliyekupa like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…