Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kauli mliyobaki nayo sa hivi, kwani ligi mnacheza na yanga tu?
Halafu timu inamilikiwa na tajiri kijana AfricaLazima waende FIFA. Haiwezekani watumie 1.3 billion wafungwe na timu iliyotumia chini ya130M. Hii dharau kubwa.
Yaani mnaongea kama hamna meno kinywani. Mbona Man City ametoka sare 1-1 na Wolves EPL? Unajua thamani ya Man City na hiyo timu ambayo imepanda daraja tena baada ya kushuka?Lazima waende FIFA. Haiwezekani watumie 1.3 billion wafungwe na timu iliyotumia chini ya130M. Hii dharau kubwa.
Akileta mdomo kama kawaida yake jamaa atamfinyangaMsemaji wa club anasemaje
Nimependa ID ya aliyekupa likeYaani mnaongea kama hamna meno kinywani. Mbona Man City ametoka sare 1-1 na Wolves EPL? Unajua thamani ya Man City na hiyo timu ambayo imepanda daraja tena baada ya kushuka?
Man City 1-2 Lyon Uefa... Ndo tatizo la kujua mpira kwenye magazetini na Insta..pole sana mkuu.
Photoshop au jamaa katoroka misitu ya kongo, au evolution inaendelea
Sidhani kama unastahili kujibiwa....Pumba kabisa, ulitaka afungwe nani ili wewe ufurahi?
Picha tafadhaliEti Mzuzu
Dah we jamaa noma sana njoo etina hapa savei uchukue bia moja ...alishawahi kuwa refalii wa masumbwi
Hii ni Marathon Hajar sio mbio fupi hizi, ligi ndio kwanzaa imeanza kwa hiyo wala usifurahi kwa hiyo mechi moja wakati zipo mechi thelathini na kitu
Yanga wameroga sana ujue😀😀😀Yaani Simba wanajua kutukera jamani, tufungwe na mbao?
😳😳😳🙁Hahahaaaa. Kuna mmoja alifanya mistake pale sijui kama hakupokea kitu maana anamrudishia kipa wakati kuna kagere.
Nina furaha jamani lol.
😀Yaani sio siri wamemnufaisha Mbao sababu wamejua kujazana aiseee .