Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
😀😀😀Operation ondoa Wazungu Msimbazi ianze na kwa kuanzia muanze na Mzungu pori haji manara halafu afuate huyu Mzuzu Patric Aussems la siyo tabu itakuwa palepale
😀😀😀Cjui tatizo ni Mr kidevu,Masoud ,wachezaji au viongozi ,maana km mifweza ninayo [emoji23] [emoji23]
Umefurahi eeh!!?Mbwe mbwe zote chaliiiiii
HapanaUmefurahi eeh!!?
Ooohh my God!
Yaani hawa wachezaji na viongozi wa Simba wangejua tunavyonyanyasika huku mitaani wangeacha huo utotoutoto waoMikia kapigwa leo. Kimoja tu. 😂😂😂😂
Ndio kauli mliyobaki nayo sa hivi, kwani ligi mnacheza na yanga tu?
Nilijua wewe simba unatamba kuifunga yanga sep 30Sijaelewa ulichoandika. Mimi ni shabiki wa Yanga na nimemaanisha kuwa tukutane kwa Mchina Na Simba next sunday.
Mkuu, haya umeyajua leo? Punguzeni kelele mitaani.Yaani mnaongea kama hamna meno kinywani. Mbona Man City ametoka sare 1-1 na Wolves EPL? Unajua thamani ya Man City na hiyo timu ambayo imepanda daraja tena baada ya kushuka?
Man City 1-2 Lyon Uefa... Ndo tatizo la kujua mpira kwenye magazetini na Insta..pole sana mkuu.
Walikosa viti vya kung'oaMashabiki na uongozi Wa simba kweli Rage alisema ni mbumbumbu hakukosea. Jana wakati Wa mapumziko wakati wachezaji Wa Mbao wanaingia vyumbani washabiki Wa Simba wakaanza kuwarushia makopo ya maji wachezaji Wa Mbao na kuwaacha Wa kwao. Sasa nikajiuliza wachezaji Wa Mbao waliwakosea nini,na wala hawakuwakebehi au kucheza mpira Wa maudhi. Sikuona kiongozi Wa simba kukemea ile Tania wala. TFF nao sijasikia wakitolea maelezo hilo,nao ni mbumbumbu kama timu yao