Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Umefurahi eeh!!?
Hapana
tapatalk_1537506796520.jpeg
 
Mikia kapigwa leo. Kimoja tu. 😂😂😂😂
Yaani hawa wachezaji na viongozi wa Simba wangejua tunavyonyanyasika huku mitaani wangeacha huo utotoutoto wao

Hali hii tumefungwa na Mbao wana Chura Fc wanavyotuzodoa, je wakitufunga wao mjini patakalika kweli!!?

Haya bana shangilieni tu maana hakuna namna
 
Hawa MBAO FC tutawafanya vibaya sana wakija apa Dar es salaam. Wasije wakashangilia kabisa, wametangaza vita na Wahuni
 
Mashabiki na uongozi Wa simba kweli Rage alisema ni mbumbumbu hakukosea. Jana wakati Wa mapumziko wakati wachezaji Wa Mbao wanaingia vyumbani washabiki Wa Simba wakaanza kuwarushia makopo ya maji wachezaji Wa Mbao na kuwaacha Wa kwao. Sasa nikajiuliza wachezaji Wa Mbao waliwakosea nini,na wala hawakuwakebehi au kucheza mpira Wa maudhi. Sikuona kiongozi Wa simba kukemea ile Tania wala. TFF nao sijasikia wakitolea maelezo hilo,nao ni mbumbumbu kama timu yao
 
Ukiona mwezio ananyolewa jiandae nawe kutia maji nilikua najiuliza ndala fc amekaa mala ngapi kwa mbao?
 
Yaani mnaongea kama hamna meno kinywani. Mbona Man City ametoka sare 1-1 na Wolves EPL? Unajua thamani ya Man City na hiyo timu ambayo imepanda daraja tena baada ya kushuka?

Man City 1-2 Lyon Uefa... Ndo tatizo la kujua mpira kwenye magazetini na Insta..pole sana mkuu.
Mkuu, haya umeyajua leo? Punguzeni kelele mitaani.
 
Mashabiki na uongozi Wa simba kweli Rage alisema ni mbumbumbu hakukosea. Jana wakati Wa mapumziko wakati wachezaji Wa Mbao wanaingia vyumbani washabiki Wa Simba wakaanza kuwarushia makopo ya maji wachezaji Wa Mbao na kuwaacha Wa kwao. Sasa nikajiuliza wachezaji Wa Mbao waliwakosea nini,na wala hawakuwakebehi au kucheza mpira Wa maudhi. Sikuona kiongozi Wa simba kukemea ile Tania wala. TFF nao sijasikia wakitolea maelezo hilo,nao ni mbumbumbu kama timu yao
Walikosa viti vya kung'oa
 
Back
Top Bottom