Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Hongera sana kwa kubashiri Mkuu, but sijui kama ungetimiza azma yako mambo yangekuwa tofautiπŸ˜€πŸ˜€
 
Hii ni Marathon Hajar sio mbio fupi hizi, ligi ndio kwanzaa imeanza kwa hiyo wala usifurahi kwa hiyo mechi moja wakati zipo mechi thelathini na kitu
Hahahaaaaaa. Sasa mbona asilima kubwa ya mashabiki hawaamini mlichokipata au wao hawajui kama bado kuna mechi thelathini na kitu?
 
Pole jamaaani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee acha tu Hajar

Natamani ingekua ndoto halafu ndio naamka kutoka usingizini. Kumbe ndio ukweli wenyewe aisee

Watoto wale wametuadhiri mchana kweupee! Miaka yote tulikua tunajipigia tu hao Mbao ila safari hii kuna mkono wa Yanga hapo

Itakua "kamati ya ufundi" ya Chura FC imecheza hii gemu maana sio kwa kukosa migoli ile bana
 
Hahahaaa. Ndio kilichobakia Sesten.

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Hahahaaaa. Hizi lawama wapeni Mbao na nyie Simba wenyewe Sesten.

Kwa kipi alichonacho Yanga mpaka atie mkono pale jamaani.

Tafuteni mchawi wenu sie yetu macho na masikio tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…