Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ngoja niwatazame wababe waarabu Tp Mazembe huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana kwa kubashiri Mkuu, but sijui kama ungetimiza azma yako mambo yangekuwa tofauti😀😀Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Hahahaaaaaa. Sasa mbona asilima kubwa ya mashabiki hawaamini mlichokipata au wao hawajui kama bado kuna mechi thelathini na kitu?Hii ni Marathon Hajar sio mbio fupi hizi, ligi ndio kwanzaa imeanza kwa hiyo wala usifurahi kwa hiyo mechi moja wakati zipo mechi thelathini na kitu
Pole jamaaani. 😂😂😂😂
Mmmh. Sasa ucheze weye na Mbao halafu Yanga aroge. DuuhYanga wameroga sana ujue😀😀😀
😂😂😂😂😂😂
Wee acha tu HajarPole jamaaani. 😂😂😂😂
Hahahaaa. Ndio kilichobakia Sesten.Yaani hawa wachezaji na viongozi wa Simba wangejua tunavyonyanyasika huku mitaani wangeacha huo utotoutoto wao
Hali hii tumefungwa na Mbao wana Chura Fc wanavyotuzodoa, je wakitufunga wao mjini patakalika kweli!!?
Haya bana shangilieni tu maana hakuna namna
Best najaribu kujijibu mwenyewe ila nashindwa kwani weye timu gani?Nilijua wewe simba unatamba kuifunga yanga sep 30
Huwa wanatukosesha usingizi sana aiseee huku mtaani.Mkuu, haya umeyajua leo? Punguzeni kelele mitaani.
Hahaaaa,Best najaribu kujijibu mwenyewe ila nashindwa kwani weye timu gani?
Hahahaaaa. Hizi lawama wapeni Mbao na nyie Simba wenyewe Sesten.Wee acha tu Hajar
Natamani ingekua ndoto halafu ndio naamka kutoka usingizini. Kumbe ndio ukweli wenyewe aisee
Watoto wale wametuadhiri mchana kweupee! Miaka yote tulikua tunajipigia tu hao Mbao ila safari hii kuna mkono wa Yanga hapo
Itakua "kamati ya ufundi" ya Chura FC imecheza hii gemu maana sio kwa kukosa migoli ile bana
Ewaaaaaaaaaa. Safi sana best.Hahaaaa,
Mi Yanga mwenzio
Mi mzima kiasi best, sijui wewe!!Ewaaaaaaaaaa. Safi sana best.
Mzima lakini wewe?
Mie pia Alhamdulillah. Tupo best.Mi mzima kiasi best, sijui wewe!!
Pamoja best, nikutakie asubuhi njema.Mie pia Alhamdulillah. Tupo best.
Ahsante na kwako pia best.Pamoja best, nikutakie asubuhi njema.
Asante best.Ahsante na kwako pia best.
Hahahaaa Yanga si ndo zenu hizo maana mlivoshangilia siku zile kama magoli kafunga Tshishimbi vile😀😀😀Mmmh. Sasa ucheze weye na Mbao halafu Yanga aroge. Duuh
We Sesten weweee. 😳