Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Hongera sana kwa kubashiri Mkuu, but sijui kama ungetimiza azma yako mambo yangekuwa tofauti😀😀
 
Afe kipa afe beki,Leo Mazembe ushindi lzm ,primera de agosto watulie kwanzaView attachment 873335
IMG_20180921_141029.jpg
 
Hii ni Marathon Hajar sio mbio fupi hizi, ligi ndio kwanzaa imeanza kwa hiyo wala usifurahi kwa hiyo mechi moja wakati zipo mechi thelathini na kitu
Hahahaaaaaa. Sasa mbona asilima kubwa ya mashabiki hawaamini mlichokipata au wao hawajui kama bado kuna mechi thelathini na kitu?
 
Pole jamaaani. 😂😂😂😂
Wee acha tu Hajar

Natamani ingekua ndoto halafu ndio naamka kutoka usingizini. Kumbe ndio ukweli wenyewe aisee

Watoto wale wametuadhiri mchana kweupee! Miaka yote tulikua tunajipigia tu hao Mbao ila safari hii kuna mkono wa Yanga hapo

Itakua "kamati ya ufundi" ya Chura FC imecheza hii gemu maana sio kwa kukosa migoli ile bana
 
Yaani hawa wachezaji na viongozi wa Simba wangejua tunavyonyanyasika huku mitaani wangeacha huo utotoutoto wao

Hali hii tumefungwa na Mbao wana Chura Fc wanavyotuzodoa, je wakitufunga wao mjini patakalika kweli!!?

Haya bana shangilieni tu maana hakuna namna
Hahahaaa. Ndio kilichobakia Sesten.

💃💃💃💃💃💃💃💃💃
 
Wee acha tu Hajar

Natamani ingekua ndoto halafu ndio naamka kutoka usingizini. Kumbe ndio ukweli wenyewe aisee

Watoto wale wametuadhiri mchana kweupee! Miaka yote tulikua tunajipigia tu hao Mbao ila safari hii kuna mkono wa Yanga hapo

Itakua "kamati ya ufundi" ya Chura FC imecheza hii gemu maana sio kwa kukosa migoli ile bana
Hahahaaaa. Hizi lawama wapeni Mbao na nyie Simba wenyewe Sesten.

Kwa kipi alichonacho Yanga mpaka atie mkono pale jamaani.

Tafuteni mchawi wenu sie yetu macho na masikio tu. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom