ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Simba kaliwa jicho kwa kutumia mbao....kijana mpuuzi sana....usirudie utani wa namna hiiTunga sentesi kwakitumia picha hiiView attachment 872487
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kaliwa jicho kwa kutumia mbao....kijana mpuuzi sana....usirudie utani wa namna hiiTunga sentesi kwakitumia picha hiiView attachment 872487
Kimoja cha nguruweSimba kapigwa kimoja kama cha Libolo fc
hahaaa", ina choumer kama PasiPoleni Wana Simba, Poleni Uongozi wa Klabu,Pole Manara huo ndiyo mpira dakika 90. Sasa tuwasubiri watani wa jadi. Usajii mlifanya wa nguvu lakini mpira ndo ulivyo.
Unakumbuka hiiSimba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Mbona umepotea???? Kumbe Simba si lolote ila itaifunga Yanga ila ubingwa kwaheri Hajar umeonaDimba la CCM Kirumba jijini Mwanza liko shwari kabisa kuelekea mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara.
Leo Mbao FC toka jiji la Mwanza, anamkaribisha Bingwa Mtetezi, Simba SC.
Mechi hii inategemewa kuanza saa 10 kamili jioni.
Baki Hapa Hapa Kwa Taarifa Zaidi Juu ya Lineup, Historia, Msimamo n.k
UPDATE 1
Kikosi cha Simba SC Kinachoanza Leo;
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Clatous Chama
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Mohammed Ibrahim
Kikosi cha Akiba ni; Deogratius Munishi; Paul Bukaba; Said Ndemla; James Kotei; Marcel Bonaventure: na 'The Man Himself', Meddie Kagere a.k.a MK14.
Kuna watu mnatembea na bahati zenu!!Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Ya mbaazi hayo, akikosa maua husingizia juaNimeamini kuna uchawi kwenye mpira,Mbao wameweka majini golini
Oooh mkuu Gazeti habari ndugu?Kocha wetu ni mzuri sana, Tumpe miaka 2 tu.
Upo mdogo wangu?Maana unanifurahisha sana. Hawa Mikia FC bana.Hauishi huu mpaka MIKIA wapigwe la pili...[emoji23][emoji23]
Uwe makini mama, mr. Slim kaahidi kukurudisha selo kama hutakaa kimya!Wamefanyaje?
Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Swali, he Mbao zimerandwaa? Au Mnyama kakatishwa viounoSimba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni
magarasa tu hakuna kitu paleAisee subiri 10 kamili uone jinsi tunavyoranda mbao