Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Kazi ya jeshi la mtu1, mamaye zenu ndiyo maana mlikuwa mnapiga vita asirudi jagwani, dogo mo fitna za futbal hazijui, upande wenu anayezijua fitna anatafutwa na takukuru ajumuishwe na walee wazee wa fitni walioko lupango, mzee dalali ndiyo anayejua kuroga ila wachawi wake wote wa kismayo, mombasa, tanga na pemba tumeisha wajua sijui mwaka huu mtatokea wapi?
 
Poleni Wana Simba, Poleni Uongozi wa Klabu,Pole Manara huo ndiyo mpira dakika 90. Sasa tuwasubiri watani wa jadi. Usajii mlifanya wa nguvu lakini mpira ndo ulivyo.
hahaaa", ina choumer kama Pasi
 
IMG_20180920_183427_788.jpg
 
Baada ya jana rangi ya jezi (nyeupe + nyekundu) kuiponza Coastal Union mbele ya mabingwa wa kuhistoria wa ligi kuu Tanzania Bara klabu ya Yanga Afrika kwa kufungwa moja bila leo ndugu zao klabu ya soka ya Simba imefungwa goli moja kwa bila katika uwanja wa CCM kirumba huko jiji la mawe mengi Mwanza baada ya kungukiwa na Mbao mbichi.

Mpaka mwisho wa mchezo Mbao FC 1-0 Simba SC
IMG-20180920-WA0143.jpeg
 
Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza liko shwari kabisa kuelekea mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara.
Leo Mbao FC toka jiji la Mwanza, anamkaribisha Bingwa Mtetezi, Simba SC.
Mechi hii inategemewa kuanza saa 10 kamili jioni.
Baki Hapa Hapa Kwa Taarifa Zaidi Juu ya Lineup, Historia, Msimamo n.k

UPDATE 1
Kikosi cha Simba SC Kinachoanza Leo;
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Clatous Chama
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Mohammed Ibrahim
Kikosi cha Akiba ni; Deogratius Munishi; Paul Bukaba; Said Ndemla; James Kotei; Marcel Bonaventure: na 'The Man Himself', Meddie Kagere a.k.a MK14.
Mbona umepotea???? Kumbe Simba si lolote ila itaifunga Yanga ila ubingwa kwaheri Hajar umeona
 
Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni
Aisee subiri 10 kamili uone jinsi tunavyoranda mbao
magarasa tu hakuna kitu pale
Swali, he Mbao zimerandwaa? Au Mnyama kakatishwa viouno
 
Back
Top Bottom