[emoji3][emoji3]Nashauri aingie Ally Ally kuongeza nguvu
Hakika Mkuu!! Huwa nashangaa wanavyompamba wakati akija uwanjani ni zero kabisa.Hapa Papaa katuibia dhahiri! Bora angebaki mzee Tambwee mabichwa! Kila la kheri Yanga!
Na alitoa ahadi kubwa kweli wakati saa ingine ukiangalia hakuna hata moja ambayo inatimia wala kuwa na dalili ya kutimia mpaka sasa.Aliwataka mwenyew...hakuna alimlazimisha msimu uliopita ndio alikua na wachezaj ambao sio chaguo lake
Na alitoa ahadi kubwa kweli wakati saa ingine ukiangalia hakuna hata moja ambayo inatimia wala kuwa na dalili ya kutimia mpaka sasa.
😳😳😳😳Raha sanaaaaaaaa
Nashauri aingie Ally Ally kuongeza nguvu