Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Hapa Papaa katuibia dhahiri! Bora angebaki mzee Tambwee mabichwa! Kila la kheri Yanga!
Hakika Mkuu!! Huwa nashangaa wanavyompamba wakati akija uwanjani ni zero kabisa.

"Daima mbele nyuma mwiko"
 
Aliwataka mwenyew...hakuna alimlazimisha msimu uliopita ndio alikua na wachezaj ambao sio chaguo lake
Na alitoa ahadi kubwa kweli wakati saa ingine ukiangalia hakuna hata moja ambayo inatimia wala kuwa na dalili ya kutimia mpaka sasa.
 
Kwa miaka 10 hii ndio yanga mbovu zaid niliyoshudia....
 
Back
Top Bottom