Yaani. Waje tu sababu ndio timu yetu hiyo.Aiseee Shadeeya nimekukubali wewe ni mpiganaji.Yaani wenzako wameutelekeza uzi ila wewe bado unakomaa? Halafu utashangaa mkishinda watajitokeza wengi kama nzi.
tatizo la YANGA ni ZAHERA sio wachezajiii, fukuza wote kuanza moja sio ujinga
Kwa nini Kaka?Unepagawa mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kajua kutunyanyua aisee.Molinga bana
Bora Aisee Kaka ake. πππUsijali niko upande wako leo kwa mkopo..ukilia,tutalia wote..ukicheka tutacheka wote!
Kajua kutunyanyua aisee.
Hatimaye aiseee
Sijui mtaambia nini watu kwa sare hiiBora Aisee Kaka ake. [emoji120][emoji120][emoji120]
Naona Molinga wetu kaona mwezi.
Kwa nini Kaka?
Wenge hilo. πππNiliona uliandika 2-3 dk 52...
Wakati ilikua dk ya 65
Yaani. Ila tusibiri tuone Mtani.Sijui mtaambia nini watu kwa sare hii