Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #161
Mods msitufanyie hivyo. Hata kubadilisha heading mmeshindwa basi wekeni hata hiyo Live.
Amini tu Mkuu.Sijaamini haya magoli mawili yalivyoingia ingia
PoleniYaani. Ila tusibiri tuone Mtani.
Huenda tukashinda.
Naona wameshaedit kichwa cha habari.Na mimi sitaki ku edit kuwabadilishia mtiririko wao
Dakika ya ngapi mkuuNaona wameshaedit kichwa cha habari.
Tushapoa. Mdogo mdogo.Poleni
Ya 80Dakika ya ngapi mkuu
Tupo mpenzi, mkoloni bado kabana, tupe updates tuWaje tu sababu huwa mpira una matokeo matatu siku zote.
-Kufunga
-Kufungwa
-Sare
Mmh. Umeigoogle wapi hii?yanga ina laaana ya asili
Waendeleee kubaki humo humo bwawani walikojificha.Sisi midume ya ukweli ya Simba tuko tayari kushangilia nawe dada yetu Shadeeya ikiwa utashinda, ingawa odds za kufanya hivyo bado zinakugomea.Yaani. Waje tu sababu ndio timu yetu hiyo.
Tunafanyaje sasa hapo. Waje tu tufurahi na kununa pamoja.
Dkk ya 80 Dada magoli ni 3 kwa 3.Tupo mpenzi, mkoloni bado kabana, tupe updates tu
Zahera anatutaka nini jamani
Nini lakini Mtani?Police ongezeni virungu vingine, huyu mhalifu analeta dharau
mzee akilimali alisemaMmh. Umeigoogle wapi hii?