Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Yanga yangu[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
 
Yanga walikomalia mjadala eti kati ya Kaseja na Manula nani bora, sasa sijui kwa nini hawakuwa wanalinganisha na magolikipa wao
 
Yaani. Waje tu sababu ndio timu yetu hiyo.
Tunafanyaje sasa hapo. Waje tu tufurahi na kununa pamoja.
Waendeleee kubaki humo humo bwawani walikojificha.Sisi midume ya ukweli ya Simba tuko tayari kushangilia nawe dada yetu Shadeeya ikiwa utashinda, ingawa odds za kufanya hivyo bado zinakugomea.
 
Back
Top Bottom