Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
#VPLLeo
Kikosi cha Timu ya Wananchi kitakachoumana dhidi ya polisi tanzania.
FB_IMG_1570106228908.jpeg


Dakika ya 6: Ngasa anipatia Yanga bao la kwanza kufuatia krosi safi kulia mwa uwanja iliyopigwa na Juma Abdul

6' | Yanga SC 1-0 Polisi Tanzania
**

Dakika ya 34: Pigwa pale, goooli, Polisi wanasawazisha kupitia Ditram Nchimbi kwa shuti kali

34’ | Yanga SC 1-1 Polisi Tanzania
**

Dakika ya 57: Nchimbiiii, anafunga bao la pili kiulaiini baada ya kupokea pasi nzuuri kati mwa uwanja

57’| Yanga SC 1-2 Polisi Tanzania
**

Dakika ya 58: Nchimbi tena anafunga bao la tatu kwa njia ya kichwa

58’| Yanga 1-3 Polisi Tanzania
**

Dakika ya 66: Goooli, Yanga wanapata bao la pili, Molinga anaingia kambani

66’| Yanga 2-3 Polisi Tanzania
**

Dakika ya 68: Gooooli, Falcao anaifungia Yanga bao la tatu kwa njia ya faulo

68’| Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania
 
Back
Top Bottom