Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujitahidi tu kuongeza lingine mana wanasemaga siku zote goli linalindwa na goli.Mambo mazuri..
😀😀😀 Wako njiani kuelekea home baada ya majukumu ya kutwa nzima hivyo watakuja tu.Yani Yanga wamejificha kabisa
Mi nipo jukwaa kuu shemela...live jukwaani.Mko wapi Yanga wenzangu mpira ndio ushaanza huku jamaani.
Tujitahidi tu kuongeza lingine mana wanasemaga siku zote goli linalindwa na goli.
Wengine watabisha. 😀😀😀Huyu makame fundi sana...kama sio mtz vilee
Safi sana Shem. Umetuwakilisha Uwanjani.Mi nipo jukwaa kuu shemela...live jukwaani.
Bila shaka, nikitoka najipoza pale Mianzini Pub.Safi sana Shem. Umetuwakilisha Uwanjani.
Ila alichomoa betriiiiii zambiaWengine watabisha. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ewaaaaaa. Maisha ndio haya haya Shem.Bila shaka, nikitoka najipoza pale Mianzini Pub.
Tunaganga yajayo Mkuu.Ila alichomoa betriiiiii zambia
shida imeanza .....Dkk ya 33 wanakomboa Polisi Tanzania.