Upo hapoLeo Vyura wangemfunga mhehe then Vita wakamfunga Simba aisee nadhani leo kelele za Vyura zingekuwa kubwa zaidi ya kawaida!!!
Sasa Zahera kawauza vyura na Vita at the same time!
Zahera agiza mzinga wa Ulanzi na supu ya mbwa kwa Mfugale nakuja kulipa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti erasto nyoni hayuko timu ya taifa.Erasto Nyoni..katupa ushindi..Niyonzima.. Niyonzima Niyonzima.. Asante Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kama wanatumia tunguli?
Kavae kijani au njano valentine dayAcha kupotosha Watu wewe, hv ingekuwa ni upendo hata wakati wa hatari barabarani wangeweka bendera nyekundu?
Au taa kuonesha wekundu kusimamisha gari ili kijani ndiyo iruhusu?
Sent using Jamii Forums mobile app