shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,901
Upo hapoLeo Vyura wangemfunga mhehe then Vita wakamfunga Simba aisee nadhani leo kelele za Vyura zingekuwa kubwa zaidi ya kawaida!!!
Sasa Zahera kawauza vyura na Vita at the same time!
Zahera agiza mzinga wa Ulanzi na supu ya mbwa kwa Mfugale nakuja kulipa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app