Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Na mie ndio nikionacho Mkuu sababu kama hii issue ya Zahera juzi wameifanya kuwa kuuubwa utadhani ni jambo la ajabu.

Sawa kabisa...ila bahati mbaya kwa Yanga ni kuwa kwa sasa klabu hii ni kama haina uongozi...kwa maoni yangu walioko ni figure heads tu..... kwa maoni yangu binafsi hawajui soka inaendeshwaje...Baadhi ni wapenda sifa tu..ndiyo maana baadhi utawasikia wakisema..."nimesajili mchezaji huyu" baadala ya kusema klabu imesajili mchezaji huyu...Halafu nadhani pia hawapendi kupata ushauri kutoka kwa watu wengine muhimu ndani ya klabu wakiwemo viongozi waliowahi kuongoza klabu hiyo...haya ni maoni yangu tu lakini...inawezekana siko sahihi....ila kwa kweli ni dhahiri ni wachanga mno kiuongozi...
 
bb76894a13984c7988040578af5a256a.jpg
bb76894a13984c7988040578af5a256a.jpg
 
Hajui mpira huyo. Akiongea atasema mlifungwa tano kisha tano tena, nyie mnafunga kamoja. Hamjalipa bado mnadaiwa goli nane. Na atamalizia kwa kusema na NA HUU NDIO UKWELI NA MSEMA UKWELI NI MPENZI WA MUNGU.
Atuachie Simba yetu, aje tukishamaliza kazi kwa sasa akae kimya tu.
"Urais ni taasisi"
 
Back
Top Bottom