Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

ni sawa na chizi anachekesha akiwa hatokei kwenye familia yako....... video kama hizi zinasambaa alafu hutaskia yeyote akipewa hata onyo.....

piga picha anakula dundo hapo kituo cha mafuta au kwa haraka zake anagonga mtu
 
Huo ni uchonganishi. Video za miaka ya nyuma unaleta Leo!
 
Haya haya wiki iliyopita zikagonga tenk la mafuta zikaungua
 
Unawapiga warning tatu halafu unawanyang'anya Leseni kwa Miaka mitano wasiendeshe chombo chochote cha kubeba Abiria.
Sauli, New Force, Msigwa ligi ya kufukuzana matakoni bado hawajakoma.

Saa 12:45 asubuhi Morogoro kwenye kituo cha Daladala Mafiga wanapita speed ya kufamtu bila kujali Zebra pumbafu zao.
 
Back
Top Bottom