kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Naona Kiduku lilo ameepuka hii kaziKwa backline ile ya simba wakifuzu sjui
Simba akifuzu ntakata gogo hapa Jf kuanzia jukwaa la MMU mpaka jukwaa la siasa huku Kiduku Lilo akifanya kazi ya kuzoa
Nimepiga like kinyonge sanaMm ni shabiki wa Simba lakini HII TEAM INATAMBWE KAMA VILE WAMESHACHUKUA CLUB BINGWA TAYAR ISEE...
GUYS MPIRA UWANJANI, MPIRA WA MDOMONI HAUFAI NDO MAANA KILA SIKU TUNAZIDI KUPOROMOKA KATIKA VIWANGO VYA FIFA...TEAM IMEJAA WACHEZAJI WA KIGENI LAKINI HAMNA LOLOTE CHA MAANA PUMBAF SANA SHUBAMITIIIII....NA BORA WAMEFUNGWA ILI WAJIULIZE WAMEKWAMA WAPI.....SIMBA HOYEEEEE!! ILA SIHAMI SIMBA HATA KIDOGO MAANA NIMEIPENDA MWENYEWE...
KAMA WE SHABIKI MWENZANGU USIPITE BILA KUGONGA LIKE HAPA!!! SIMBA MOJA SIMBA DAIMA....TUMETELEZA BADO HATUJAANGUKA!!
sijasema kwamba ni kibaya, tatizo ni chemistry kati ya wachezaji wageni na hawa waliopo ndio tatizoHamna kitu, kikosi cha sasa ni bora zaidi! Tuache maneno mingi ...
Aisee, we jamaa! DaaahKwa backline ile ya simba wakifuzu sjui
Simba akifuzu ntakata gogo hapa Jf kuanzia jukwaa la MMU mpaka jukwaa la siasa huku Kiduku Lilo akifanya kazi ya kuzoa
Mkuu hii siku imekuwa mbaya sana kwangu, siyo mbaya haikuwa siku yetu.Ofcourse ...Alafu fairness na Yanga sijui utaifa hatuutaki tena! Yanga mtakoma mamamaee ....
Ni kweli mkuuKuna kagera mkuu, huku kuwa na matokeo sio kuzuri...tujifunze somo la leo..na lituingie..
Kutolewa ndyo sio jambo la kawaida ila je unatolewa hatua gani hyo ndo inakuwa issue. Kwa simba iliyofika robo fainal msimu uliopita kuondoka atua ya awali kabisa ni upuuzi wa kiwango cha lami.Kilichoiponza simba ni
1) kuwadharau wapinzani wetu(kuingia na matokeo mfukoni)
2)kuwaacha baadhi ya wachezaji mhimu wa msimu uliopita(ambao tayari walikua wametengeneza chemistry nzuri)
watu kama James kotei, Emanuel okwi hatukupaswa kuwaacha bila sababu za msingi na badala yake tukachukua wachezaji wengi wapya
Kitu ambacho kitatuchukua mda mrefu kupata chemistry Kama ya msimu ulioisha
NB: kwenye mashindano, kutolewa si kitu cha ajabu, wanatolewa Man City na PSG pamoja na kwamba wamewekeza Pesa nyingi, simba ni nani bhana
Naamini hili ni somo, japo kwakweli litakua gumu sana kwetu.
Kwenye mpira hili jambo ni kawaida kabisa.Kutolewa ndyo sio jambo la kawaida ila je unatolewa hatua gani hyo ndo inakuwa issue. Kwa simba iliyofika robo fainal msimu uliopita kuondoka atua ya awali kabisa ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Mbona povu kwani mi nahusika na matokeo yenu?Tulisema kuwa sisi ni mabingwa na Mbute Mbute wanalitambua hilo.
Na siku zote timu kubwa ikitolewa kwenye mashindano (Simba) basi timu ndogo zinashangilia (Vyura fc)
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Hapo ndiyo unapata maana halisi ya mbumbumbuWashabiki wa Simba bana! Mnatimu bora ila mjifunze mpira lolote linatokea! Mnaanza maneno mengiiiii, mara wabrazil mara Ajib! Hivi tuwe wakweli kikosi kilichopita ni sawa na hiki? Hiki kikosi ni bora ila mpira ndio ulivyo!
Ila na nyie mkimtoa Zesco nitafute nikupe zawadi.Hamchomoki nawaambia....Simba katolewa Champions league Mtani.
The best team [emoji123]
AiseeFaida za mtu kufia kwao.
1.Anapunguza gharama za kusafirisha msiba
2.Anapunguza maswali ya chanzo cha kifo chake
3.Anazikwa na watu wengi wa kwao.[emoji419][emoji419]
Poleni sana wanasimba pole Tanzania