Kilichoiponza simba ni
1) kuwadharau wapinzani wetu(kuingia na matokeo mfukoni)
2)kuwaacha baadhi ya wachezaji mhimu wa msimu uliopita(ambao tayari walikua wametengeneza chemistry nzuri)
watu kama James kotei, Emanuel okwi hatukupaswa kuwaacha bila sababu za msingi na badala yake tukachukua wachezaji wengi wapya
Kitu ambacho kitatuchukua mda mrefu kupata chemistry Kama ya msimu ulioisha
NB: kwenye mashindano, kutolewa si kitu cha ajabu, wanatolewa Man City na PSG pamoja na kwamba wamewekeza Pesa nyingi, simba ni nani bhana
Naamini hili ni somo, japo kwakweli litakua gumu sana kwetu.