Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Mm ni shabiki wa Simba lakini HII TEAM INATAMBWE KAMA VILE WAMESHACHUKUA CLUB BINGWA TAYAR ISEE...
GUYS MPIRA UWANJANI, MPIRA WA MDOMONI HAUFAI NDO MAANA KILA SIKU TUNAZIDI KUPOROMOKA KATIKA VIWANGO VYA FIFA...TEAM IMEJAA WACHEZAJI WA KIGENI LAKINI HAMNA LOLOTE CHA MAANA PUMBAF SANA SHUBAMITIIIII....NA BORA WAMEFUNGWA ILI WAJIULIZE WAMEKWAMA WAPI.....SIMBA HOYEEEEE!! ILA SIHAMI SIMBA HATA KIDOGO MAANA NIMEIPENDA MWENYEWE...

KAMA WE SHABIKI MWENZANGU USIPITE BILA KUGONGA LIKE HAPA!!! SIMBA MOJA SIMBA DAIMA....TUMETELEZA BADO HATUJAANGUKA!!
Nimepiga like kinyonge sana
 
Hamna kitu, kikosi cha sasa ni bora zaidi! Tuache maneno mingi ...
sijasema kwamba ni kibaya, tatizo ni chemistry kati ya wachezaji wageni na hawa waliopo ndio tatizo

Na itachukua mda kidogo timu kukaa sawa.
 
Utani pembeni, Simba inawamiss sana Okwi na Kotei.
Msudan ni kawaida sana. Mo Hussein ni bora kuliko Gardiel.
Mkude alishazoea kucheza na holding midfielder mwenzake. Ku adjust awe peke yake itachukua muda.
 
Kilichoiponza simba ni

1) kuwadharau wapinzani wetu(kuingia na matokeo mfukoni)

2)kuwaacha baadhi ya wachezaji mhimu wa msimu uliopita(ambao tayari walikua wametengeneza chemistry nzuri)

watu kama James kotei, Emanuel okwi hatukupaswa kuwaacha bila sababu za msingi na badala yake tukachukua wachezaji wengi wapya

Kitu ambacho kitatuchukua mda mrefu kupata chemistry Kama ya msimu ulioisha

NB: kwenye mashindano, kutolewa si kitu cha ajabu, wanatolewa Man City na PSG pamoja na kwamba wamewekeza Pesa nyingi, simba ni nani bhana

Naamini hili ni somo, japo kwakweli litakua gumu sana kwetu.
Kutolewa ndyo sio jambo la kawaida ila je unatolewa hatua gani hyo ndo inakuwa issue. Kwa simba iliyofika robo fainal msimu uliopita kuondoka atua ya awali kabisa ni upuuzi wa kiwango cha lami.
 
halafu simba itabid isajili tena sioni mk14 mkude na shiboub kama watakua na uwezo tena msimu ujao.umri utakua kikwazo kwao plus kukosa exposure ya game za kmataifa.
 
Faida za mtu kufia kwao.
1.Anapunguza gharama za kusafirisha msiba
2.Anapunguza maswali ya chanzo cha kifo chake
3.Anazikwa na watu wengi wa kwao.[emoji419][emoji419]

Poleni sana wanasimba pole Tanzania
Aisee
 
Back
Top Bottom