Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Hivi hawa wanaotukejeli ni Watanzania wenzetu kweli hawa?! Hivi nyie hamu yenu ilikuwa muone tunajifanya kushinda halafu tukale gwala gwala kama tulivyolishwa gwala gwala hadi na wacheza ndombolo, au?! Hivi mbona hamuelewi kwamba tulichofanya ni uzalendo wa kuliepusha taifa na aibu huko mbeleni!

UZALENDO HAUNA TIMU WALA CHAMA.
 
Ni wakati mgumu sana kwetu mashabiki wa Simba kwa matokeo haya, viongozi mjipange yasijeyakaleta matokeo mabaya ligi kuu, tujifunze na kuwa na mikakati yakiushindani haswa kwenye sajili.
Simba kwa miaka mitatu mfululizo imechezea pesa nyingi sana. Almost 3.5b
Kwenye usajili wa kipuuzi
 
Waliokuwa wanasema Haji Manara ndio anasababisha mashabiki wajae uwanjani wakae macho mechi ya ligi kuu aibu inakuja . Na wale waliokuwa wanasema Yanga inamhitaji mtu kama Manara nao wawe tayari tayari kushuhudia nyomi la wananchi.

Mashabiki wanaletwa na matokeo bora ya timu fullstop. Kama timu inashinda game zake mashabiki watafurika tu uwanjani hata kama timu hiyo haina msemaji kabisa matokeo ya uwanjani yatasema, Na kama timu inapoteza game muhimu kama Simba leo basi hata ingekuwa na wakina Manara watatu au tisa hawatafanya lolote la maana.
 
Hii ni kweli chief!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…