Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelekea ubingwa wa nchiNguvu moja kuelekea wapi
Leo yanamaana sanaDah, nikadhani mambo ya maana kumbe watani hawa
hakuna viporo mwaka huu ili upange matokeoSimba bila kupuliza sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo hana lolote
Sawa mke wangu katandike nilale basiWe kweli fala yaani hata statistics za head to head huna,kalale tu umekalia kidole taifa
Kama alama ya kifo!!Moderator tunakuomba uweke "Live" iwe nyekundu
Anaongoza Kumi bila.Simba anaongoza ngapi wakuu
Simba kwa miaka mitatu mfululizo imechezea pesa nyingi sana. Almost 3.5bNi wakati mgumu sana kwetu mashabiki wa Simba kwa matokeo haya, viongozi mjipange yasijeyakaleta matokeo mabaya ligi kuu, tujifunze na kuwa na mikakati yakiushindani haswa kwenye sajili.
Dah, nikadhani mambo ya maana kumbe watani hawa
Labda mto ndo mtavuka mtani
Hii ni kweli chief!Waliokuwa wanasema Haji Manara ndio anasababisha mashabiki wajae uwanjani wakae macho mechi ya ligi kuu aibu inakuja . Na wale waliokuwa wanasema Yanga inamhitaji mtu kama Manara nao wawe tayari tayari kushuhudia nyomi la wananchi.
Mashabiki wanaletwa na matokeo bora ya timu fullstop. Kama timu inashinda game zake mashabiki watafurika tu uwanjani hata kama timu hiyo haina msemaji kabisa matokeo ya uwanjani yatasema, Na kama timu inapoteza game muhimu kama Simba leo basi hata ingekuwa na wakina Manara watatu au tisa hawatafanya lolote la maana.
Sawa mke wangu katandike nilale basi
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020