Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Kotei aliwabeba sana pale nyuma. Pengo lake kama liko wazi vile! Halafu walimpotezea Lamine Moro ambaye amekuwa ni lulu upande ule wa pili. Tunawashukuru sana kwa kumfanyia majaribio kwa niaba yetu.
Tumewaachia ninyi Mfike Robo fainali sasa
 
Yanga na simba hizi timu siasa ni nyingi na hazitakaa zipate mafanikio mpk siku wanaachana na mambo ya kipuuzi
 
Kutolewa ndyo sio jambo la kawaida ila je unatolewa hatua gani hyo ndo inakuwa issue. Kwa simba iliyofika robo fainal msimu uliopita kuondoka atua ya awali kabisa ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Mkuu mpira n kitu kingine,hii sio kombolela yakujificha machakani.
 
Hahahahahaha,wallah maneno yangekuwa yanaumba!
 
Jamani eh! Hata Orlando Pirates (ambao ni tajiri zaidi ya Simba yetu na wakiwa wameshawahi kushinda CAF champions league) nao wametolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…