Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bahati yakeNaona Kiduku lilo ameepuka hii kazi
Pamoja na ubovu ule wa kikosi cha simba NASA kwenye kiungo mkabaji bado siioni timu yakumsumbua kwenye ligi yetuAisee, we jamaa! Daaah
Kwani unateseka?Mtapata tabu sana
Tumewaachia ninyi Mfike Robo fainali sasaKotei aliwabeba sana pale nyuma. Pengo lake kama liko wazi vile! Halafu walimpotezea Lamine Moro ambaye amekuwa ni lulu upande ule wa pili. Tunawashukuru sana kwa kumfanyia majaribio kwa niaba yetu.
Yanga na simba hizi timu siasa ni nyingi na hazitakaa zipate mafanikio mpk siku wanaachana na mambo ya kipuuziMabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Simba Sports Club wekundu wa msimbazi wametupwa nje ya klabu bingwa barani Afrika na klabu ya UD SONGO kutoka nchini Msumbiji.
Klabu hiyo kutoka kati kati mwa jiji la Dar Es Salaam iliacha gumzo kubwa kipindi cha dirisha la usajili ikichukua wachezaji kutoka Brazili, Sudani na Congo.
Lakini mungu si Athumani Simba imetupwa nje mapema tu, je unadhani klabu hiyo ilifanya maamuzi sahihi ya usajili au ilikuwa ikikurupuka kufanya usajili kila ilipotimu saa saba mchana ??!
Mkuu hata kwa Township Rollers mliwabeza Yanga hivi hivi.Ila na nyie mkimtoa Zesco nitafute nikupe zawadi.Hamchomoki nawaambia....
Mkuu mpira n kitu kingine,hii sio kombolela yakujificha machakani.Kutolewa ndyo sio jambo la kawaida ila je unatolewa hatua gani hyo ndo inakuwa issue. Kwa simba iliyofika robo fainal msimu uliopita kuondoka atua ya awali kabisa ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Hahahahahaha,wallah maneno yangekuwa yanaumba!We are Simba...This is Simba...miaka kumi mfululizo sisi ndio tutakuwa mabingwa....back to back..IGA UFE ...hii ni level nyingine...sisi ndio timu bora tukifuatiwa na Azam..nawachukia mno gongowazi..Kambi yetu ni South Africa na siyo Morogoro ambako wachezaji kambini wanagombea chips na mihogo...tutaanza kuokota mataji kama ngao ya jamii...target yetu mwaka huu ni kufika nusu fainali kwenye michuano ya CAF..
Week end tena dogo?Upo wapi huko mlipo nyuma siku moja?Kama mie Dada yaani leo ntalala kwa raha kabisa na kesho Weekend naianza shwaaari kabisa.
Kila timu aliyoweka mkono wake haikufanikiwa kutoboaAlifanyaje mkuu