Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Tuwekee na kikosi cha UD Songo...Acha ubaguzi na Ushabiki hapa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
walisema watamfunga je hawakujua kwamba UD Songo kajipanga? Piere liquid FC acheni mikwara chezeni mpira
 
Tatizo la simba ni kujiamini kupitiliza na pia ile hulka yao ya kutowaheshimu wapinzani hasa wanapocheza uwanja wa Taifa. Ngoja tuwape tu muda maana mpira ni dk 90! Hii UD Songo siyo timu ya mchezo mchezo. Ina vijana wengi ambao damu zao zinachemka kweli kweli! Wangekua na utulivu, wangekua mbele kwa goli mbili sasa.
 
Wanadai Taifa ni kaburini eti.

Haya wamzike Du Songo leo tuone. Hahahaahahaaaaa.

NB: Watani zangu Povu baada ya dkk 90 nitafulia nguo πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…