Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dak 37 Simba amepigwa moja tunasubiri la pili hapa.
Utuombee mpenziWalisahau kama wewe sio mgeni kwenye haya mambo. 😍😍😍😍
Ila tusubiri tuone bwana Ses huenda leo Mkapata ushindi japo nakumbusha tu zinatazika bao mbili.
Inabidi mcheze kweli kweli.Subirini kusawazishwa na kupata la ushindi...!
Afadhali Mkuu. Ila nimeamini kwamba Mikia huwa wana midomo wakishinda tu.Ngoja niwasaidie kuleta update,maana guruguja wamekimbia Jamvi
24' FC mikia wanafanya mabadiliko anatoka francis kashata (kahata) anaingia dilunga..hii ni sub ya mapema zaidi kufanywa na guruguja FC tangu kuanzishwa kwake
Mpira ukiisha unioneHaki ni mbayaView attachment 1189714
Tunashukuru kwa ushauri ndugu akilimaliMO Una haribu pesa zako bure mrudishie Mzee Kilomoni li timu lake.
Wakikomboa kamoja wanaaga mashindanoLeo wamekuwa kama wamemwagiwa maji huko waliko.
Mbwembwe watakuja nazo mpira ukiisha na wakapata ushindi au wakomboe.
Yatatokea yale ya nkanaSiamini kama yatatokea yale ya township rollers...!