Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Mo usirudie kuwapeleka nje ya nchi hao watu wako huwa wanaenda kutalio, ona sasa wanavyokuumiza leo
 
Ngoja niwasaidie kuleta update,maana guruguja wamekimbia Jamvi

24' FC mikia wanafanya mabadiliko anatoka francis kashata (kahata) anaingia dilunga..hii ni sub ya mapema zaidi kufanywa na guruguja FC tangu kuanzishwa kwake
 
Mikiiaaa, kwisha kwisha kwisha kabisa, nyang'a nyang'a ndembendembe mlalo wa chali, kifo cha mende.
 
Ngoja niwasaidie kuleta update,maana guruguja wamekimbia Jamvi

24' FC mikia wanafanya mabadiliko anatoka francis kashata (kahata) anaingia dilunga..hii ni sub ya mapema zaidi kufanywa na guruguja FC tangu kuanzishwa kwake
Afadhali Mkuu. Ila nimeamini kwamba Mikia huwa wana midomo wakishinda tu.

Yaani leo kama Mabubu hapa. 😂😂😂
 
Haki ni mbaya
IMG-20190814-WA0007.jpeg
 
MO Una haribu pesa zako bure mrudishie Mzee Kilomoni li timu lake.
 
watani jipangeni ushindi ni wenu msisikilize maneno yetu wanayanga tunanogesha utani tu😂😂
 
Ngapi ngapi huko, nilikuwa nimelala jamani
 
Back
Top Bottom