playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Hamna mnalolijua..wazee wa CAS wapo na mission ya kulipa kisas, SIMBA watoe release letter kibao kije kigeuzwe wamevunja mkataba, ifunguliwe kesi klabu iingie hasaraUmeonae? Halafu eti wanajiita klabu inayoendeshwa kisasa wakati inaendekeza mambo ya hovyo Kama haya, uswahili mwingi. Hakika bado tuna safari ndefu Sana.