Ligi ya NBC yaporomoka viwango, Simba yasababisha

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga marefa yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu.
 
Mtoa mada nadhani ujakaa ukatafuta sababu za kueleweka Kuna timu inapewa point hilo halijifichi. Acha kua shabiki maandazi.
 
Unachosema na rekodi uliyotuma ni vitu tofauti,,,NBC premier league imebaki kwenye nafasi ya 6. haijapanda wala kuporomoka.
 
Sisi Yanga ndo maana tunaonekana hatuna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…