Ligi ya NBC yaporomoka viwango, Simba yasababisha

Mmh asee kuna watu sijui waliamua kuziacha akili wapi.!🤔
 
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ila wewe jamaa ndiye unayesababisha Manara atuite sisi Mashabiki wa Yanga hamnazo.Ndiyo Umeandika vinyorongoroto gani hivi sasa!!!
 
Uropokaji wa wachambuzi wetu bila ku evaluate wanachokiongea ndiyo umetufikisha hapa! Serikali ilikuwa sahihi tunahitaji wachambuzi wasomi 🚮🚮🚮
 
Kama imesababisha mi nafikiri ni vyema CAF wakaichunguza, ikiwemo baadhi ya matukio yake!

Hasa kweny suala la uongezwaji wa dakika!
Na suala la marefa kuwapa upendeleo, hii inadidimiza harakati za timu pinzani zinapokutana.

Kiuhalisia umezungumza kitu Cha kweli kabisa.

Lakin sijajua kwa upande wa Yanga, ila Simba imekuwa tuu machi
 
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wale waamuzi njaa na wa mchongo, watakuwa wana mchango wao mkubwa tu kwenye hili.
 
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Baada ya singida na yanga kupanga matokeo sisi wadau wa michezo tuliandika barua kuitaarifu caf jinsi yanga inavyopanga matokeo na kujidunga sindano hivyo wameifanyia kazi barua yetu!
 
Nilidhan mashabiki wa Simba na Yanga wa hapa jamii forums ni tofauti na wale ninaokutana mtaani kumbe ni jamii moja.
Wote machupichupi tu,Halafu mkuu watu waliopo huku ndio walewale waliopo mitaani.Japo WENGI wa huku ni matajiritajiri.Cc:Nyani ngabu.
 
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Watu sampuli yako ndiyo wanafanya Yanga inaonekana ni klabu ya vilaza, wakati mwingine jaribu kuficha upumbavu wako kwa maslahi mapana ya Yanga.
 
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu chomoa ukimbie mbio zote..
Sio akili yako hii
 
Back
Top Bottom