Ligi ya NBC yaporomoka viwango, Simba yasababisha

Ligi ya NBC yaporomoka viwango, Simba yasababisha

Ki uhalisia Ligi yetu haiwezi kushika nafasi ya 4 ni uongo ukio tukuka.
Marefa wana boronga kwa kiwango cha juu sana.
Refa aliye boronga mechi ya Leo unamkuta bado anachezeas mechi ijayo.
Awa marefa si kama hawajui kuchezesha ila wanapewa maelekezo ndio maana hawachukuliwi hatua.

Kama isingekua maelekezo, matatizo ya uchezeshaji yange pungua kwa hofu ya wao kuwajibishwa.

Moja ya sababu kubwa ya ligi kubebwa ni kwakua mechi zake zote zinakua live ila mambo yanayo tokea uwanjani ndio yana tuvunjia heshma kama Nchi.
Yaah ndo maana arajiga tu ndo anachezesha mechi za yanga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom