Ligi ya NBC yaporomoka viwango, Simba yasababisha

LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yanga bn
 
Wewe utakuwa kubwa jinga, caf watakuwa wameujua mchezo wa utopolo kudhamini timu pinzani labda, saidi kamwaga upupu pumbaf nyie yanga
 
Mashindano ya kimataifa hayachangia ligi kupanda
Ficha ujinga wako
1000111367.jpg
 
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
GSM kudhamini timu 8; ndicho chanzo. Na Singida kuingiza kikosi dhaifu Dhidi ya Yanga
 
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika

Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile Ligi kuu Bora zaidi zilizopo katika Nafasi za Juu huku ligi ya Tanzania #NBCPremierLeague ikiporomoka ikiondoka katika 5 bora ikitoka katika nafasi ya 5 hadi nafasi ya 6 mwaka huu.

Hii michezo ya makolo kuhonga maresha yasababisha

Unahisi Sababu zipi zimepelekea ligi ya Tanzania Kushuka ??View attachment 3245226

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ona bwege hii..
 
Kama imesababisha mi nafikiri ni vyema CAF wakaichunguza, ikiwemo baadhi ya matukio yake!

Hasa kweny suala la uongezwaji wa dakika!
Na suala la marefa kuwapa upendeleo, hii inadidimiza harakati za timu pinzani zinapokutana.

Kiuhalisia umezungumza kitu Cha kweli kabisa.

Lakin sijajua kwa upande wa Yanga, ila Simba imekuwa tuu machi
Yanga Hajawahi kuwa na ushindi wa makando makando

Back
Top Bottom