Ligi ya NBC yaporomoka viwango, Simba yasababisha

Ligi ya NBC yaporomoka viwango, Simba yasababisha

Kama imesababisha mi nafikiri ni vyema CAF wakaichunguza, ikiwemo baadhi ya matukio yake!

Hasa kweny suala la uongezwaji wa dakika!
Na suala la marefa kuwapa upendeleo, hii inadidimiza harakati za timu pinzani zinapokutana.

Kiuhalisia umezungumza kitu Cha kweli kabisa.

Lakin sijajua kwa upande wa Yanga, ila Simba imekuwa tuu machi
Yanga Hajawahi kuwa na ushindi wa makando makando

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hiii vita ya simba na yanga ni kifo ndo kitakucha kuamua kutuachanisha bila ivo ni spana juu ya spana😂😂😂
 
Kama imesababisha mi nafikiri ni vyema CAF wakaichunguza, ikiwemo baadhi ya matukio yake!

Hasa kweny suala la uongezwaji wa dakika!
Na suala la marefa kuwapa upendeleo, hii inadidimiza harakati za timu pinzani zinapokutana.

Kiuhalisia umezungumza kitu Cha kweli kabisa.

Lakin sijajua kwa upande wa Yanga, ila Simba imekuwa tuu machi
Yanga Hajawahi kuwa na ushindi wa makando makando

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ki uhalisia Ligi yetu haiwezi kushika nafasi ya 4 ni uongo ulio tukuka.
Marefa wana boronga kwa kiwango cha juu sana.
Refa aliye boronga mechi ya Leo unamkuta bado anachezesha mechi ijayo.
Awa marefa si kama hawajui kuchezesha ila wanapewa maelekezo ndio maana hawachukuliwi hatua.

Kama isingekua maelekezo, matatizo ya uchezeshaji yange pungua kwa hofu ya wao kuwajibishwa.

Moja ya sababu kubwa ya ligi kubebwa ni kwakua mechi zake zote zinakua live ila mambo yanayo tokea uwanjani ndio yana tuvunjia heshma kama Nchi.
 
Back
Top Bottom