Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Rudisheni maana mmezoea drooo na Namungo
 
Namungo yupo mchezaji wetu wa zamani, mimi kama shabiki wa simba lazima niwe mzalendo
 
Hii mechi inachezwa uwanja wa ilulu manispaa ya Lindi
 
Chirwaaaaaa gooooooooaaaaalllll!!! Namungo 1 Mapele 0!!!
Uto watofautishe kutamba mechi na wavulana na zile kucheza na wanaume!! Mayele kawa mapele!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…