Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Unasema???Kipindi cha pili yanga wameanza kwa kasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema???Kipindi cha pili yanga wameanza kwa kasi
Hahahahaa slogan ni mwiko, mbona umeusahau?Hatudili na mandondocha ya mo> yanga mbele ,ushindi daima ,
Job kapinduliwa kata funua😂😂😂obrey chirwa kampindua mtu gagulo likaanguka kashindilia afu kakung'untia humo humo
TupoooooooooooFriends of Namungo mpooooooo
Hii mechi inachezwa uwanja wa ilulu manispaa ya LindiNi pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.
Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.
Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?
Tuwe hapa kwa Dakika 90
Chirwaaaaaa gooooooooaaaaalllll!!! Namungo 1 Mapele 0!!!Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.