Sipendi vita: Ila linapokuja suala la Rais wa nchi yangu kukashifiwa na nchi jirani hujiona nimedharauliwa sana!! J.K nchi yote tuko nyuma yako: Ikiwezekana apigwe huyu "nduli" mtoto. Nafikiri ilikuwa ni makosa sana kuruhusu ajiunge na E.A.C!!
usiri gani wakati kuna kamanda yule wa jeshi aliyetorokea rwanda, alikuwa na siri zote alikuwa anampa kagame kuhusu jeshi letu. Kagame amekuwa akispy jeshi na nchi zinazozunguka ili atuweke nchi zinazomzunguka mfukoni/kiganjani kama alivyowaweka wanyarwanda. Kuna viongozi wengi tu wa jeshi na serikali ni wanyarwanda na hawana royalty kabisa na tz. Ni muhimu nchi yetu ianze screening katika kila sector, wanajulikana hawajajificha.
Tanzania hatuna usiri wa vitu nyeti kama hivi?.
m.s.e.n.g.e
jaman naenda kujtolea
Tanzania hatuna usiri wa vitu nyeti kama hivi?.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesitisha wapiganaji wake kwenda likizo na kuwaita waliokuwa likizo kurudi makambini. Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa vya kiinteligensia vijulikanavyo kama KAINZI uamuzi huo umeenda sambamba na kuweka hali ya utayari wa kijeshi (military readiness) kufikia asilimia 50; katika hali ya utulivu na amani nchini hali ya utayari wa kijeshi inakuwa kwenye asilimia 25 hivi.
Kwa mujibu wa chanzo changu hicho ambacho kimekuwa kikifuatilia mwitikio wa vyombo vyetu vya usalama kufuatia kuongezeka kwa hali ya utete katika eneo la maziwa mazuri vikosi vya jeshi nchini kufikia jana vilikuwa vimesomewa taarifa hiyo ya kusitisha likizo na hata pasi za kutoka makambani huku maafisa wake ambao walikuwa nje ya vituo vyao vya kazi wakitakiwa kurudi makambini. Uamuzi huu hata hivyo haijawa wazi kama unahusu wapiganaji wote nchini au wa Brigedia za Tabora au Brigedia za vikosi maalum.
Baadhi ya vikosi vilisomewa taarifa hiyo jana
msiwe wepesi wa kwenda mtwara kubaka dada zetu nendeni mkabake wanyarwanda..
Mwanajeshi gani kavujisha siri kamwambia Mwanakijiji mipango ya Jeshi letu.
Wanajeshi wanamna hii ni hatari kwa kutoa siri wanaweza hata kusaidiana na maadui zetu kutuhujumu.
Mkuu wa majeshi kuwa makini na vijana wako.
hivi ndege ya jeshi la nchi nyingine ilituaje KIA na kubeba wanyama hai JWTZ walikuwa likizo..
Uko sahihi kabisa damu yangu inasisimka kila napo isikia vita. Naitaman sana Rwanda tuwashkishe adabu. Naamin siwez kustaaf bila kumwaga damu. Sheeeet!
Nawashangaa wakazi hasa wazee wa Kagera. Kwa nini wako kimya? UKIMWI wao, vita ya Idd Amin wao, MV Bukoba wao. Tafadhali zuieni huyu Kikwete.
Mwanakijiji kwanini umevujisha taarifa na mipango ya ndani ya jeshi letu ingali mapema? Is this not alerting our enemy? Hii post sijaifurahia ingawa ni nzuri.
Hawa Green Guard, Red Brigade na Blue Guard wenyewe hawajaitwa?
Waweza kuwa miongoni mwa wale 'wazee wa keyboards' ambao wanahamasisha mabadiliko bila hata kwenda kupiga kura siku za uchaguzi, beware!Mungu ibariki Tanzania na watu wake mungu bariki JWTZ ikiwezekana waseme hata kesho twende volunteers hawa manyang'au wasichezee hii ardhi yetu