Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Na mombasa ina bahati kuwa na bandari ama sivyo ingesahaulika! Ku-invest outside Nairobi ni non existent idea. Imagine JPM launched around $500 mln worth of infrastructure projects in Mwanza alone!Wakenya yaaani nimedharau mno, hawana barabara nje ya Nairobi kabisa.
Sehemu zote madaraja yako ovyo ovyo utafirikiri ya muda.
Tanzania tuko mbali sana na kwa kweli haitahtajj kusema tena kuwa tumewaacha nyuma kila kitu kitajionesha chenyewe.
Yaaaani nawapa poleeee hao manyang'au
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya yaaani nimedharau mno, hawana barabara nje ya Nairobi kabisa.
Sehemu zote madaraja yako ovyo ovyo utafirikiri ya muda.
Tanzania tuko mbali sana na kwa kweli haitahtajj kusema tena kuwa tumewaacha nyuma kila kitu kitajionesha chenyewe.
Yaaaani nawapa poleeee hao manyang'au
Sent using Jamii Forums mobile app
Still u can't compare the damage with Kenya! The bridges r wide n roads r better! Mna madaraja ya Kikoloni!
Kwa unafiki hamjambo! Ni sawa na kumcheka mtoto wa mwenzako kisa kajipaka uji ilhali wako ana mavi.
Your "modern" wide and better roads ambayo yanasombwa na maji kama hii yetu ya kikoloni shouldn't that tell you something?Still u can't compare the damage with Kenya! The bridges r wide n roads r better! Mna madaraja ya Kikoloni!
Your "modern" wide and better roads ambayo yanasombwa na maji kama hii yetu ya kikoloni shouldn't that tell you something?
Bro, do you even think before typing?
This is too much kuwa na aibu hata kiduchu!Mabey Bridge (Galana River bridge)
Your "modern" wide and better roads ambayo yanasombwa na maji kama hii yetu ya kikoloni shouldn't that tell you something?
Bro, do you even think before typing?
Hebu Weka hizo photos bro niamini.Leta ya Marsabit! Arusha n Mwanza have 6 lanes roads! Dodoma ring over 100km is 6 lanes!
Kabisa!!hujakosea jomba, barabara zote ziko nairobi tuWakenya yaaani nimedharau mno, hawana barabara nje ya Nairobi kabisa.
Sehemu zote madaraja yako ovyo ovyo utafirikiri ya muda.
Tanzania tuko mbali sana na kwa kweli haitahtajj kusema tena kuwa tumewaacha nyuma kila kitu kitajionesha chenyewe.
Yaaaani nawapa poleeee hao manyang'au
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu Weka hizo photos bro niamini.
Naxvegas254 6 lanes in Mwanza aside the road to connect Kigongo-Busisi bridge!Hizi ni njia sita....three on both sides.... Haya leta ya kisumu tuone...View attachment 1290047View attachment 1290050
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa unafiki hamjambo! Ni sawa na kumcheka mtoto wa mwenzako kisa kajipaka uji ilhali wako ana mavi.
Render ndio inakufanya ufurahi hivi?
Imepostiwa render lakini hii barabara ni Arusha hii na ilishaanza kutumika kitambo Sana.Render ndio inakufanya ufurahi hivi?
Weka picha halisi bro tuzione piaImepostiwa render lakini hii barabara ni Arusha hii na ilishaanza kutumika kitambo Sana.
Hapa ilikuwa bado ujenzi unaendelea.Weka picha halisi bro tuzione pia