Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Na mombasa ina bahati kuwa na bandari ama sivyo ingesahaulika! Ku-invest outside Nairobi ni non existent idea. Imagine JPM launched around $500 mln worth of infrastructure projects in Mwanza alone!Wakenya yaaani nimedharau mno, hawana barabara nje ya Nairobi kabisa.
Sehemu zote madaraja yako ovyo ovyo utafirikiri ya muda.
Tanzania tuko mbali sana na kwa kweli haitahtajj kusema tena kuwa tumewaacha nyuma kila kitu kitajionesha chenyewe.
Yaaaani nawapa poleeee hao manyang'au
Sent using Jamii Forums mobile app