kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
Ze besti piriodiKwa tafsiri rahisi kuanzia alfajiri una kutana na Zembwela na team yake then kitenge ana wa join kwenye magazeti,baada ya hapo Saa mbili kamili sport Arena,Ikiisha una kutana na Dida na Team yake,ukitoka hapo una kutana na Lil Ommy na Team yake hiyo hadi 11 jioni
Sent from my iPhone using JamiiForums
wakais atakua na u-zarilady kwa mbal sioSam misago ,,,,,yuko vizuri lakin nikwasababu alisomea uganda.
una akil xana master💪💪
Ukiachana na kuwa na utoto mwingi na mihemuko jamaa Hana kabisa talent ya utangazaji sijui vigezo gani walivitumia kumuajiri Bora kidogo calypso talent anayo pia ana elimu alafu anajua kuuliza maswali vizuri weakness yake ya kuwa na utoto mwingi inaweza kurekebishika ila kwa mtu imara Hakuna hata kinachombeba.Very true, Mtu imara apunguze mihemko na utoto mwingi zaid ya hapo anakula hela ya wasafi bure
it's a business strategy mkuu sahizi faida haina umuhimu ila uwekezaji ndio muhimu zaidi.... so kwasasa hawapati faida inawezekana wamapata loss au 50/50 chance ila kwa baada ya mwaka au two years wanataka wateke soko na wawe juu kibiashara in terms of shows kali, matangazo na other endorsementHawa wasafi media wanataka kutuaminisha kuwa wanapata faida kubwa sana katika biashara zao????? Mara wizkid mara watangazaji kama wote wakali tz wanataka kuwaweka pale. Do they make more than others wajuzi mnisaidie tafadhali hizi media zinatengenezaje pesa???? Wasije wakawa wanakula loss huko
Nawapenda Diamond t na wasafi yake ila napenda zaidi reality
Kama kweli watafaidika hongera zao hasa kwa Diamond platnumz mungu azidi kumuongezea
Wasafi for life
Faida ya kipindi ni matangazo, kama matangazo hamna kipindi kizima basi wanapata hasara. Wenzetu kama FOX channel ya marekani wanaangalia rating za viewers, kama watazamaji wachache show inakuwa canceled haraka sana.Hawa wasafi media wanataka kutuaminisha kuwa wanapata faida kubwa sana katika biashara zao????? Mara wizkid mara watangazaji kama wote wakali tz wanataka kuwaweka pale. Do they make more than others wajuzi mnisaidie tafadhali hizi media zinatengenezaje pesa???? Wasije wakawa wanakula loss huko
Nawapenda Diamond t na wasafi yake ila napenda zaidi reality
Kama kweli watafaidika hongera zao hasa kwa Diamond platnumz mungu azidi kumuongezea
Wasafi for life
Hapa Tz hakuna mtangazaji ..mzuri kama Sam misago awa wengine wanatumia nguvu kubwa kueleweka.
Yani mbaba kama wewe huwa una itikadi za kizee zee za wavaa macadet (baadhi) huwezi kuielewa block 89 bango ni kubwa, tunakalisha matembo.
Babulai Mafuvu baby labda aende akapige old schools tu, kuna vijana ni shikidi pale kati.Wakimchukua Mafuvu mniambie na muda wa kipindi chake ili nianze kusikiliza tena redio
Kibla..Wasafi deal kubwa sasa hivi wanachukua watu wakubwa good ✔. ila kwenye ile block 89 wangeongeza wengine maana calypCo na yule mwamba mbona Kama wana mihemko mingi sana....Sina wivu na mtu ni mtazamo tu
Ukimtoa Mtu Imara nani atatengeneza contents za kipindi?Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale Wasafi
Mtu imara ndo ovyo pale.Kibla..
Calypso humjui yule, she's multi talented presenter hawakumchukua kwa bahati mbaya.
Yani utangazaji wa Calypso ni mara mbili ya Aaliyah kuanzia experience hadi namna ya utamkaji maneno also fluent English ni mbaya sanaaa.
Ukimtoa nani atatengeneza contents za wasafi?Very true, Mtu imara apunguze mihemko na utoto mwingi zaid ya hapo anakula hela ya wasafi bure
Haya tuseme tumemtoa, nani atatengeneza contents za wasafi sasa?Mtu imara ndo ovyo pale.
Katika radio station ambayo sijawahi sikiliza ni times fmHatimaye yaliyosemwa kuhusu wapi anaelekea mtangazaji wa Times fm yametimia. Muda huu Lil Ommy ametambulishwa ktk redio changa Wasafi Fm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa pombe kaliKipindi chake pale Times kapewa yule msanii wa Hip Hop aliyekuwa bonge miaka ya nyuma Baghidad
Watu wanajua kujipigia promo khaa...Hapa Tz hakuna mtangazaji ..mzuri kama Sam misago awa wengine wanatumia nguvu kubwa kueleweka.