Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Kwa tafsiri rahisi kuanzia alfajiri una kutana na Zembwela na team yake then kitenge ana wa join kwenye magazeti,baada ya hapo Saa mbili kamili sport Arena,Ikiisha una kutana na Dida na Team yake,ukitoka hapo una kutana na Lil Ommy na Team yake hiyo hadi 11 jioni

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ze besti piriodi
 
Very true, Mtu imara apunguze mihemko na utoto mwingi zaid ya hapo anakula hela ya wasafi bure
Ukiachana na kuwa na utoto mwingi na mihemuko jamaa Hana kabisa talent ya utangazaji sijui vigezo gani walivitumia kumuajiri Bora kidogo calypso talent anayo pia ana elimu alafu anajua kuuliza maswali vizuri weakness yake ya kuwa na utoto mwingi inaweza kurekebishika ila kwa mtu imara Hakuna hata kinachombeba.
 
Hawa wasafi media wanataka kutuaminisha kuwa wanapata faida kubwa sana katika biashara zao????? Mara wizkid mara watangazaji kama wote wakali tz wanataka kuwaweka pale. Do they make more than others wajuzi mnisaidie tafadhali hizi media zinatengenezaje pesa???? Wasije wakawa wanakula loss huko

Nawapenda Diamond t na wasafi yake ila napenda zaidi reality
Kama kweli watafaidika hongera zao hasa kwa Diamond platnumz mungu azidi kumuongezea
Wasafi for life
 
it's a business strategy mkuu sahizi faida haina umuhimu ila uwekezaji ndio muhimu zaidi.... so kwasasa hawapati faida inawezekana wamapata loss au 50/50 chance ila kwa baada ya mwaka au two years wanataka wateke soko na wawe juu kibiashara in terms of shows kali, matangazo na other endorsement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wasafi media wanataka kutuaminisha kuwa wanapata faida kubwa sana katika biashara zao????? Mara wizkid mara watangazaji kama wote wakali tz wanataka kuwaweka pale. Do they make more than others wajuzi mnisaidie tafadhali hizi media zinatengenezaje pesa???? Wasije wakawa wanakula loss huko

Nawapenda Diamond t na wasafi yake ila napenda zaidi reality
Kama kweli watafaidika hongera zao hasa kwa Diamond platnumz mungu azidi kumuongezea
Wasafi for life
Faida ya kipindi ni matangazo, kama matangazo hamna kipindi kizima basi wanapata hasara. Wenzetu kama FOX channel ya marekani wanaangalia rating za viewers, kama watazamaji wachache show inakuwa canceled haraka sana.
 
Wasafi deal kubwa sasa hivi wanachukua watu wakubwa good ✔. ila kwenye ile block 89 wangeongeza wengine maana calypCo na yule mwamba mbona Kama wana mihemko mingi sana....Sina wivu na mtu ni mtazamo tu
Kibla..
Calypso humjui yule, she's multi talented presenter hawakumchukua kwa bahati mbaya.
Yani utangazaji wa Calypso ni mara mbili ya Aaliyah kuanzia experience hadi namna ya utamkaji maneno also fluent English ni mbaya sanaaa.
 
Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale Wasafi
Ukimtoa Mtu Imara nani atatengeneza contents za kipindi?
Hahaha acheni masihala nyinyi mtu imara hayupo pale kwa bahati mbaya muulize Rommy Jones akwambie yale mafilamu yake na kipindi cha Turn up Friday katoa wapi.

Calypso the baddest presenter ever, kile kipindi wakiwa wawili yeye na John ni mauwaji sana, Aaliyah aende Tv tu sema ni jambo gumu maana yeye ni pambo
 
Kibla..
Calypso humjui yule, she's multi talented presenter hawakumchukua kwa bahati mbaya.
Yani utangazaji wa Calypso ni mara mbili ya Aaliyah kuanzia experience hadi namna ya utamkaji maneno also fluent English ni mbaya sanaaa.
Mtu imara ndo ovyo pale.
 
Back
Top Bottom