Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

Nenda taratibu ndugu, usiongee maneno yote ukamaliza.
 
Kwa bunge hili lenye chama kimoja lenye wabunge wanaofuata maelekezo ya chama na sio ya wanaowawakilisha, napatwa hata uvivu wa kuchangia ..
Tena maagizo yote yanatoka kwa Makonda aka Bashite.
Pengine linaweza likawa lishoga.
 
Issue sio miswada kupelekwa bungeni Bali hao wanojadili hiyo miswaada ni watu wa aina Gani? Bunge la sasa halina tofauti na Kikao Cha kamati kuu ya CCM kwahiyo hakuna kitakachojadiliwa chenye manufaa kwa jamii Bali kwa CCM wenyewe na matumbo ya familia zao.
 
halafu watakaojadili ni hao hao ambao wako illegally selected......maisha haya hayaishi vituko. Yaani kwamba wajadili kifo chao? Nitakua wa mwisho kuamini hili.
 
Pascal Mayalla unajua kwenye miswada hiyo kuna nini? Mbona unakuwa kichekesho na umri wako huu! Iweke hapa tuisome its contents if they promote democracy au it is concentrating power to the executive/samia/CCM
 
Tena maagizo yote yanatoka kwa Makonda aka Bashite.

Pengine linaweza likawa lishoga.
Inawezekana mkuu,kwa kuwa prides za Shetani ni pamoja na Gay Pride,Women Pride, Abortion Pride,Pornography Pride na Euthanasia Pride,hizi zote zinakuja,na tayari zimeshaanza kupigiwa chapuo sana!For full blown Women Pride,Abortion Pride, Euthanasia Pride and Pornography Pride kama ilivyo Gay Pride, they are just waiting for the right time.Kwa sasa wamesema Wanadamu hawapo tayari,meaning they are not evil enough.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…