Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda taratibu ndugu, usiongee maneno yote ukamaliza.Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,
Tena maagizo yote yanatoka kwa Makonda aka Bashite.Kwa bunge hili lenye chama kimoja [emoji1][emoji1] lenye wabunge wanaofuata maelekezo ya chama na sio ya wanaowawakilisha, napatwa hata uvivu wa kuchangia ..
Tena maagizo yote yanatoka kwa Makonda aka Bashite.Kwa bunge hili lenye chama kimoja
lenye wabunge wanaofuata maelekezo ya chama na sio ya wanaowawakilisha, napatwa hata uvivu wa kuchangia ..![]()
Pengine linaweza likawa lishoga.Wewe unatumiwa na Lucifer hujitambui.Kama ungekuwa na akili zako original ambazo Mungu alikuumbia, usingeandika upupu huu.Sitamung'unya maneno,zipo kazi za wanaume na wanawake,ndio mpango wa Mungu na mwanamme ndiye Mungu aliyemuumba kuwa kiongozi popote kuanzia kwenye familia.Hivi hata maumbile ya mwanamke hayawaonyeshi kwamba tupo tofauti na mwanamke anastahili kazi nyepesi tofauti na mwanaume!Ujinga wa Wanadamu na uasi wake dhidi ya Mungu ndio uliotufikisha hapa,it is complete lunacy,eti 50-50!
Huu ulioandika hapa ni mpango na matamanio ya Lucifer mkuu,na kwa haya uliyoandika hapa clearly indicates una akili ndogo sana au unatumiwa au your power of discernment is nil,pole sana.
Listen to the following clip,labda utanielewa kwa sehemu.
![]()
Brighteon Broadcast News, Nov 8, 2023 - SEVEN INSPIRING characteristics of self-mastery for surviving the End Times that are now upon us
Brighteon.com is a leading online free platform that empowers free speech, allowing individuals to freely share videos and express their thoughts without any form of censorship. Join us today and be part of our community.www.brighteon.com
Masters uya kukariri makaratasi.Siyo degree ana masters
Elimu ya Tanzania ni aibu tupu, hapo ana Masters ya Journalism + Bachelor ya sheria(1990) lakini ndiyo hivyo bado anatafuta ajira kama sisi.Masters uya kukariri makaratasi.
bado hujafahamu na umekimbia kuandika uzi.Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo
Elimu tegemezi inayomfanya mtu kuwa tegemezi maisha yake yote,pamoja na kwamba Paschal Mayala ni mwanasheria lakini bado ujinga umemtawala.Elimu ya Tanzania ni aibu tupu, hapo ana Masters ya Journalism + Bachelor ya sheria(1990) lakini ndiyo hivyo bado anatafuta ajira kama sisi.
Njaa tupu inamtesa haswaElimu tegemezi inayomfanya mtu kuwa tegemezi maisha yake yote,pamoja na kwamba Paschal Mayala ni mwanasheria lakini bado ujinga umemtawala.
Hakika.Njaa tupu inamtesa haswa
halafu watakaojadili ni hao hao ambao wako illegally selected......maisha haya hayaishi vituko. Yaani kwamba wajadili kifo chao? Nitakua wa mwisho kuamini hili.Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.
Pascal Mayalla unajua kwenye miswada hiyo kuna nini? Mbona unakuwa kichekesho na umri wako huu! Iweke hapa tuisome its contents if they promote democracy au it is concentrating power to the executive/samia/CCMWanabodi
Soma bandiko hili kwa utangulizi huu Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza? na Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ... na Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!
Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.
Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,
Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.
NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.
Karibuni
Paskali
Umesoma ukaelewa nilichoandikaNa shida yenu kubwa watanzania ni kuamini watu aina ya Pasco wana akili ndio maana mnapata disappointment!!
Inawezekana mkuu,kwa kuwa prides za Shetani ni pamoja na Gay Pride,Women Pride, Abortion Pride,Pornography Pride na Euthanasia Pride,hizi zote zinakuja,na tayari zimeshaanza kupigiwa chapuo sana!For full blown Women Pride,Abortion Pride, Euthanasia Pride and Pornography Pride kama ilivyo Gay Pride, they are just waiting for the right time.Kwa sasa wamesema Wanadamu hawapo tayari,meaning they are not evil enough.Tena maagizo yote yanatoka kwa Makonda aka Bashite.
Pengine linaweza likawa lishoga.